Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Akii mama yangu ananishangaza jaman nimeshamtumia hizo nyimbo zake
..ukishazituma tulia, tunazisikiliza hapa. Asante sana
Akii mama yangu ananishangaza jaman nimeshamtumia hizo nyimbo zake
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nakupendaa ujuee
Kuna mmoja nilimdanganya nakwea pipa na kuonesha usilias aniamini nikaweka flight mode kale ka alama kanakoonesha ndege kwa simu najua alipopiga walimwambia nipo angan
Anko wewe tumia ile uliyoozoeaa
Mpo wote kumbe [emoji134]♀️[emoji134]♀️ binamu ujue we ndio unaniharibia mama..ukishazituma tulia, tunazisikiliza hapa. Asante sana
Hivi binamu we ni mkristo woiiiii najuaga muislam ukiongea kuhusu surat za kiislam kama nimekosea mtanisamehe
Aaaah me ctumii x mke mweee acha kuncingzia
Mpo wote kumbe [emoji134]♀️[emoji134]♀️ binamu ujue we ndio unaniharibia mama
[emoji120][emoji120][emoji120] Asantee binamu hiyo nyimbo imeniliza....kijana wa Sunday skuli mimi na chuo nimesoma, sio kwa fimbo zile ila zimeniwezesha kupata ufahamu wa kupiga mpunga bila kijiko.
Nyumba yangu ya ibada imebadilishwa badilishwa sana, mara bar kutegemea na muandamo wa mwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...huzipendi hizo X!! Kama una video zake nitumie
Wewe ndio umemwaribu mama...Jackie Cheni anaweza kumharibu Bruce Lee? Au Chuck Norris anaweza kumharibu komandoo suzi Cynthia Rothrock
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndio umemwaribu mama
[emoji120][emoji120][emoji120] Asantee binamu hiyo nyimbo imeniliza