Makapuku Forum

..Husna mpenzi wangu, nitachelewa kidogo, niko kwenye kikao cha kuwapongeza walioteuliwa jana. Natamani ungekuwa hapa lakini utakunywa nini sasa maana viinywaji vilivyopo ni vya walipa kodi, hakuna cha maji wala juice
[emoji1] [emoji1] [emoji1] muda ukienda sana ulale huko huko tu
Kutembea usiku mwingi sio vizuri
 
...ustaadhaat huyu wewe, usimwone hivyo! Labda nimnyweshe indirectly, si unajua mambo aliyoimbaga Juma Necha kuhusu Sinta "...alipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda, ...vumbi likatimuka abiria hawaoni stend;, si ndo wakanyonyana, ndimi njenje'
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…