Makapuku Forum

Makapuku Forum

...sijawahi kuyakwepa majukumu, sema yenyewe ndo yananikwepa. Si unakumbuka anko siku zile umenipa jukumu la kukuwakilisha kwenye ile hafla ya ubalozini, mbona sikukwepa? Wananisingizia
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
tenor.gif
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
...utakauka mate bure, kuku ni kweli aliahidiwa lakini akatokea penzi jipya akapewa. Mimi nilijitahidi kumsisitiza anko atimize ahadi, akatishia kunisomea albadiri nikaona isiwe tabu, nikambeba kuku na nikamchinjia kabisa penzi jipya.

Labda nimletee manyoya ili angalau apate cha kujichokonolea sikio
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom