Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
1973 - Ichiro Suzuki, mchezaji wa baseball kutoka Japani alizaliwa
Na makucha yake kila mtu na kichaa chake, Uko poa lakiniKumekuchaaaaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
HBD Ichiro1973 - Ichiro Suzuki, mchezaji wa baseball kutoka Japani alizaliwa
RIP Louis althusser1990 - Louis Althusser, mwanafalsafa wa Ufaransa alifariki
Mwambie MUNGU maneno hayaAmenJunMwambie MUNGU maneno haya
"Ee MUNGU muumba wangu na kimbilio langu, nashukuru kwa kunilinda usiku kucha na kuniamsha mzima asubuhi hii ya leo.Sina cha kukulipa ila nasema asante sana.Nakuomba uniongoze katika siku hii ya leo,ukamwage baraka zako tele ukanipe kibali machoni pa kila mtu uniepushe na kila maovu nipe kushinda kwa kila jambo Unapowazuru wengine usinipite kwani wewe ndiye kimbilio langu na msaada wangu wakati wa shida.AMENI"
>Asubuhi njema.
Tumshukuru MunguKumekuchaaaaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Gd mornieMorning all kapuku