Makapuku Forum

Makapuku Forum

77c04fd11a1c781a67c443c5c75003af.jpg
 
Na kweli upo
Sio mbaya muhimu uzima chief ,mm jana nimeshinda namtafuta moneytalk ananipiga chenga
Uzima wenyewe huu wa kuunga unga, siku Mkiona kimya sana bila taarifa, njooni nyumban mpate taarifa zaid, yawezekana nikaw no more, mkiwahi mtaniwekea mchanga, mkichelewa mtanisomea dia,maana hakina taarifa wala habari, ukiwadia muda wake kimya kimya..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom