*
TUOMBE*
Tunakushukuru Mungu kwa kutufikisha siku hii ya leo. Tunaomba Moyo wa shukrani tuje mbele zako kwa sadaka,sifa na shukrani. Tunamkataa shetani na kazi zake zote kwa Moto wa Roho Mtakatifu . Tunaombea wote wenye mahitaji mbalimbali. Kutana na haja ya kila mmoja mmoja pamoja na familia zetu . Ni katika Jina la Yesu tumeomba tukiamini na kushukuru Amina.
SIKU NJEMA MBARIKIWE