Makapuku Forum

....ha hahah, anko wangu anapenda makelele, mambo ya kimya kimya hataki. Na akirudi kasema anamletea aunty yangu Shunie hausigeli mmoja matata sana, asaidia kazi za ndani. Aunty atafurahi maana bekitatu huyu anavaa shanga miguuni, mambo ya utamaduni
Weeee binamuuu shindwaa we na anko wako sihitaji hg kazi zangu nazimudu kama mmetafuta kisingizio cha kuleta mke wa pili kwangu haiingia mwanamke wa kumisaidia kazi tena mpe salaam anko wako
 
...anko, unasalimiwa na mjomba! Anasema kuku ni kuku tu, kama vipi mnunue hapo hapo mlipo. Kuku wa kienyeji wanasumbua sana abiria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana huyu kuku hakuji mpaka wewe umeambiwa
[emoji4] [emoji4] anko ujue mjomba wako ana matatizo sasa mhusika nasikia anataka yule anayesumbua abiria
 
....ha hahah, anko wangu anapenda makelele, mambo ya kimya kimya hataki. Na akirudi kasema anamletea aunty yangu Shunie hausigeli mmoja matata sana, asaidia kazi za ndani. Aunty atafurahi maana bekitatu huyu anavaa shanga miguuni, mambo ya utamaduni
Hausigeli wa vikukuu.. tobaa, shunie ujiandae..[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…