Tuko macho kuyasubiriaTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa shemela shunie
Sio kwa ubaya maana mtu kubadilisha jina lazima tumsome vizuri kutoka lee empire mpaka lyon lee hakuna tatizo nilifikiri ni mtu mwingineMwingine huyo kazi ipo
[emoji122] [emoji122]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mkandamizajiView attachment 610328Asubuhi njema wadau
Kajipigia mpunga saaafiii[emoji15] [emoji15] [emoji15] mkandamizaji
Unaweza kuta kichwa cha habari na yaliyomo tofautiKajipigia mpunga saaafiii
Na wewe pia shululu.View attachment 610328Asubuhi njema wadau
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Ngoja nkueleweshe shemela,
mm na Shunie tunaitana mke mweee so hata waume zetu ambao ni shululu na Lee Empire huwa wanaitana mme mweee so kwa vle ww ni mdg wa Lee ucshangae kuitwa mme mweeee
Muziki: Juma La Kicongo
Bamitambo banatestiwa dii, yeah maana mutu ana makuta hadi papa Lee empire akakimbia jiji. Si munamujua mujomba yangu ambaye imebidi ajisalimishe nje ya mji kutokana na timbwiri la aunty yangu. Nakusalimia sana Kapuku mwenzangu na kukwambia kwamba jana ilikuwa siku si nzui sana upande wangu maana Mwalimu Nyerere alikufa na huo mwaka ndo nilikuwa namaliz shule hatukufanya graduation hivyo sina hata picha moja ya ukumbusho. Siku serikali ikianzisha msako wa wasio na picha za graduation, nitatumbuliwa maana hii ya umri ninaweza kuikwepa.
Muziki sasa, wiki hii yote tuvumiliane tu maana nitapandisha sana mamiziki ya Kicongo na kama unategemea kutakuwa na details zozote za unga wa Kongo sahau maana hapa muziki tu hamu zako hazitatatuliwa hapa.\
Tuwe na wiki njema Makapuku wenzangu na ninawashukuru wote ambao wakati natest mitambo mmeona kitu kisichojulikana. Nawapenda sana
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Tunakupenda pia binamu
Barukutu njema
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Ni kweli kabisa dj Obe, pamoja sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1]