makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,754
- 103,692
Mie sibishi wala sikupingi.......anaongea lugha nne English, Russian, Japanese, and Swahili (Mae Jemison: The First African American Woman in Space and First Real Astronaut on Star Trek) nimeweka link ili anko wangu asijenibishia maana kwenye Kiswahili najua wengi mtamuunga mkono anko kunibishia
PhD kaipata na miaka 25 tu wakati mimi na miaka yangu inayoniruhusu kutogombea UVCCM ndo kwanza nimedahiliwa UDOM
![]()

mdomo koma