Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Ni watu wawili tofauti lee empire hayupoSio kwa ubaya maana mtu kubadilisha jina lazima tumsome vizuri kutoka lee empire mpaka lyon lee hakuna tatizo nilifikiri ni mtu mwingine
Ni watu wawili tofauti lee empire hayupoSio kwa ubaya maana mtu kubadilisha jina lazima tumsome vizuri kutoka lee empire mpaka lyon lee hakuna tatizo nilifikiri ni mtu mwingine
Hazina ukali wowote tatzo akili zao ziko fyatu fyatu, wakiongeza na bangi kidogo zinafyatuka..

Weeee binamuuu shindwaa we na anko wako sihitaji hg kazi zangu nazimudu kama mmetafuta kisingizio cha kuleta mke wa pili kwangu haiingia mwanamke wa kumisaidia kazi tena mpe salaam anko wako....ha hahah, anko wangu anapenda makelele, mambo ya kimya kimya hataki. Na akirudi kasema anamletea aunty yangu Shunie hausigeli mmoja matata sana, asaidia kazi za ndani. Aunty atafurahi maana bekitatu huyu anavaa shanga miguuni, mambo ya utamaduni
Naanzaje kukubali wabaki nae hukohukoHuyo atakuwa mke wa pili na navomjua shunie hawezi kubariana na maamuzi hayo magumu japo kusaidiana napo muhimu
...anko, unasalimiwa na mjomba! Anasema kuku ni kuku tu, kama vipi mnunue hapo hapo mlipo. Kuku wa kienyeji wanasumbua sana abiria






nimecheka sana huyu kuku hakuji mpaka wewe umeambiwa
![]()
anko ujue mjomba wako ana matatizo sasa mhusika nasikia anataka yule anayesumbua abiria
maka mamboMarhabaa shemela, vipi hali shemeji..
Halafu utanifundisha ile salamu yenu ya tununu!!![]()
![]()
Badoo ??Ni watu wawili tofauti lee empire hayupo
Nashuruku thaaana jirani.. (kinyambez voice)TUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Makaveli
Weeee binamuuu shindwaa we na anko wako sihitaji hg kazi zangu nazimudu kama mmetafuta kisingizio cha kuleta mke wa pili kwangu haiingia mwanamke wa kumisaidia kazi tena mpe salaam anko wako

Nashukuru mkuu..
Anko obe kwa kukuvuruga yumoNaanzaje kukubali wabaki nae hukohuko
Anakutafutia maneno huyunimecheka sana huyu kuku hakuji mpaka wewe umeambiwa
Bibi zake na mohamed salah
Nimekuta kaniquote jamanBadoo ??
au shem umemwambia binamuAnakutafutia maneno huyu
kajuaje hizi mambo za kuku
Hivi kwa nini hapendi niishi kwa amani jamanAnko obe kwa kukuvuruga yumo
wabaki nae huko sihitaji hg
Yaan sijui alitupiga chabo au kpindi kile tunazungumza jukwaaau shem umemwambia binamukajuaje hizi mambo za kuku
Hausigeli wa vikukuu.. tobaa, shunie ujiandae......ha hahah, anko wangu anapenda makelele, mambo ya kimya kimya hataki. Na akirudi kasema anamletea aunty yangu Shunie hausigeli mmoja matata sana, asaidia kazi za ndani. Aunty atafurahi maana bekitatu huyu anavaa shanga miguuni, mambo ya utamaduni

Muulize au kuna roho mbaya ulimfanyia??Hivi kwa nini hapendi niishi kwa amani jaman