makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,754
- 103,692
Kwani shunie mwenyewe kasema kashindwa, kaomba msaada, mwambie lee baba askofu makaveli jr kasema asifanye jambo hilo ni chukizo kwa muumba km mkewe hajakubali wala kuomba..Huyo atakuwa mke wa pili na navomjua shunie hawezi kubariana na maamuzi hayo magumu japo kusaidiana napo muhimu