Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
Taarifa njema
...anko, unasalimiwa na mjomba! Anasema kuku ni kuku tu, kama vipi mnunue hapo hapo mlipo. Kuku wa kienyeji wanasumbua sana abiria
Taarifa njema
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106]Good morning to u all 'great kapuku '
Anko shikamo
[emoji4] [emoji4] anko ujue mjomba wako ana matatizo sasa mhusika nasikia anataka yule anayesumbua abiria...anko, unasalimiwa na mjomba! Anasema kuku ni kuku tu, kama vipi mnunue hapo hapo mlipo. Kuku wa kienyeji wanasumbua sana abiria
Bless you[emoji120]Asante kwa neno mama mchungaji
Hakika Mungu yu mwemaNatumaini mwenyezi Mungu ametuamsha salama kabisa makapuku wote
AsanteTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Makaveli
BlessedHope Mungu azidi kukuweka unaifanya siku kuwa nzuri kwa neno lako kila siku*[emoji524]TUOMBE*
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu Muumbaji vitu vyote. Asante kwa kutufikisha siku hii ya leo,tunakuabudu, tunakusifu na kukutukuza wewe. Tunamkataa shetani na kazi zake zote kwa Jina la Yesu,Tunaomba Damu ya Yesu itunenee mema sawa sawa na mahitaji yetu yote. Tuongoze Roho wa Bwana kila tutakapo kuwa leo ni kupitia Jina la Yesu tunaomba Amina.
SIKU NJEMA WANA WA MUNGU MBARIKIWE[emoji120][emoji120] [emoji7] [emoji7]