Makapuku Forum

Makapuku Forum

...alisikika kipindi cha Obama alipotembelea Kenya. Msemo wake "Mungu hakukosea kumuumba Adam na Hawa" na hivyo hakuumba Adam na Nuhu maana hapendi zile mambo za kigeni

DNNYERINJUE2106hy.jpg
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]
 
.....anaongea lugha nne English, Russian, Japanese, and Swahili (Mae Jemison: The First African American Woman in Space and First Real Astronaut on Star Trek) nimeweka link ili anko wangu asijenibishia maana kwenye Kiswahili najua wengi mtamuunga mkono anko kunibishia

PhD kaipata na miaka 25 tu wakati mimi na miaka yangu inayoniruhusu kutogombea UVCCM ndo kwanza nimedahiliwa UDOM

quote-don-t-let-anyone-rob-you-of-your-imagination-your-creativity-or-your-curiosity-it-s-mae-jemison-52-51-04.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we na anko wako mnapenda kubishana sana
 
*[emoji524]TUOMBE*
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu Muumbaji vitu vyote. Asante kwa kutufikisha siku hii ya leo,tunakuabudu, tunakusifu na kukutukuza wewe. Tunamkataa shetani na kazi zake zote kwa Jina la Yesu,Tunaomba Damu ya Yesu itunenee mema sawa sawa na mahitaji yetu yote. Tuongoze Roho wa Bwana kila tutakapo kuwa leo ni kupitia Jina la Yesu tunaomba Amina.

SIKU NJEMA WANA WA MUNGU MBARIKIWE[emoji120][emoji120] [emoji7] [emoji7]
Ameni[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom