Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tarehe 17 Oktoba ni siku ya 290 ya mwaka (ya 291 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 75.
75.gif
 
1404 - Uchaguzi wa Papa Innocent VII

Alichaguliwa kuwa Papa kwa ushindi timilifu, yaani kura zote zilimuangukia yeye lakini kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake na tabia za kuchuma kupitia madaraka alimuweka ndugu yake kuwa kamanda wa jeshi la papa. Kifo chake kilikuwa na utata na kanisa huwa linawapinga wote wanaosema kifo chake hakikuwa 'a natural death' na sio faulo

220px-Innocent_VII.jpg
 
Ubarikiwe sana,sisi ni maua tunategeneana,maua yapo mekundu,meupe,meusi,blue,njano,kijani,zambarau,pinki..yakikaa pamoja hupendeza..ndio maana Mungu katuweka pamoja..tunapendana,tunakubaliana,tunavumiliana,tunashikamana,tunaungana mkono,tutatiana moyo,tunafarijiana,tunagombana,tunapatana,tunasameheana na tunasonga mbele pamoja..Mungu atusaidie sana tuendelee kuwa hai na afya njema...Love you all kapuku's you are wonderful made

I love you too
 
1946 - Graca Machel, mke wa Samora Machel halafu wa Nelson Mandela alizaliwa


...utasema nini kwa mwanamama mrembo huyu ambaye yupo kwenye 'panel' ya wat 10n wenye ushawishi africa wanaopigania usawa na maendeleo endelevu barani kwetu. Na uhue nini? Ndo mwanamama wa kwanza kuwa 'first lady' katika nchi mbili tofauti, Mocambique na Afrika Kusini

graca-machel-portrait-940x430.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom