Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa Hisani ya mama mchuchu BlessedHope na mwanae kipenzi Sakayo

Pateni Sala ya Ushindi.

Zaburi 20: 1-5

059c766dcb3d21987f437cf7056afa3b.jpg

Mungu awalinde.
Amina my son Mungu akubariki uwe MSHINDI IN JESUS NAMESAKAYO MWANANGU..WEWE NI MSHINDI KATIKA JINA LIPITAYO MAJINA YOTE JINA TAKATIFU LA YESU UBARIKIWE SANA
 
ZABURI 90

12.Basi utujulishe kuzihesabu siku zetu,tujipatie moyo wa hekima.

13.Ee BWANA utarudi lini?Uwahurumie watumishi wako.

TUMUOMBE SANA MUNGU ATUFUNDISHE KUHESABU SIKU ZETU,TUWE NA UPENDO..TUTUMIKIE NA KUWAJIBIKA...

MCHANA MWEMA
 
*TUOMBE*
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu Muumbaji vitu vyote. Asante kwa kutufikisha siku hii ya leo,tunakuabudu, tunakusifu na kukutukuza wewe. Tunamkataa shetani na kazi zake zote kwa Jina la Yesu,Tunaomba Damu ya Yesu itunenee mema sawa sawa na mahitaji yetu yote. Tuongoze Roho wa Bwana kila tutakapo kuwa leo ni kupitia Jina la Yesu tunaomba Amina.

SIKU NJEMA WANA WA MUNGU MBARIKIWE
 
Asante kwa neno mama mchungaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom