Makapuku Forum

Wapiiiii tetra mambo yake hayo
 
Muziki wa Mdhamini

Ni chaguo la Shunie na japokuwa kuna masuala ya utekwaji yaliyomkuta anko wangu popote alipo ninapopajua basi anko mdogo Lyon Lee apokee dedication hii maana ni muhimu anko wangu ajue na akishajua basi sisi wengine tunaungana naye kuhakikisha dawa alizorogezewa zinafanya kazi vizuri.

 
Mchezo wa Netball ndio wenye radha chupi nje nje alafu unakuwa na uwezo mkubwa wa kupima papuchi za wad......da..

...na kabla ya sketi wanatanguliza skinitaiti, basi mjomba wangu haoni raha kabisa kuangalia rede. Siku hizi anaenda kuangalia mashindano ya wadada kuogelea
Mchezo mzur napenda kuutizama ni ule wa kushindanisha vikojoleo..
 
Yaan binamu jaman nimejikuta nacheka tu hivi una niniii lakini asante jamaan binamu yangu tunakupenda sisi
 
Huyo hawezi kuwa na presha hizo mambo kashazoea ana list yake akianza na mama ashura mvaa nini sijui bado muuza chapati na yule muuza supu akiwapanga kutoka mtwara mpaka dar wanafika
Teh teh teh.. huo ndio ukidume, huwez kuwa na mwanamke mmoja, kwan mama yako mzaz huyo.. (in sheikh kipozeo's voice)
 
Yaan jombaa unaamin mim ntakufanyia figisu figisu katika penz lako, siwez na sifanyi michezo hyo mama kanikataza mimi, mpaka ntakapooa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…