Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ee Mungu wangu nakurudishia sifa utukufu na heshima kwa kuwa umenipa kibali cha kuiona siku hii ya leo nikiwa mwenye nguvu na afya njema. Ee Mungu naomba unijalie Kuomba ndani ya moyo wangu kusiko koma maana Neno lako linasema luk 18:1 Akawaambia mfano ya kwamba imewapasa kumuomba Mungu siku zote wala wasikate tamaa isaya 62 Enyi walinzi wenye kumkumbusha Bwana msikae kimya wala msimwache akae kimya mpaka atakapolifanya imara agano lake, pia tunaambiwa tuombe bila kukoma.Nb Sikia mtu wa Mungu usikate tamaa hata siku moja kabla maombi yako hayajajibiwa ,usiache kumkumbusha Mungu mpaka uhakikishe umepata kile unachohitaji, Mungu wetu ni mwaminifu sana anatusikia na Ahadi zake ni za kweli na Amini ,.nakutakia jumapili njema Nenda ukafanikiwe ,Baraka za Mungu ziwe juu yako .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom