Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji15] [emoji15] Hhmm.. sina maana hyo..[emoji85] [emoji85]
Waambie wanikome, washindwe na walegee.. na pm ntaifungilia kwa mbali, tuko kimasihala zaidi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji15] [emoji15] Hhmm.. sina maana hyo..[emoji85] [emoji85]
Waambie wanikome, washindwe na walegee.. na pm ntaifungilia kwa mbali, tuko kimasihala zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilijua tu ungekubali lionee[emoji23] [emoji23] [emoji23]...mmmmmh, mimi ni babu kweli kweli na ujue nini siku hizi matibabu kwa wababu bure, yule mbabu aliyekufa shinyanga akisaka Viagra ni rafiki wa mjomba wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]......au ungekuwa ushabakwa na Shaban Madobe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...Mimi kuna siku nimewalalia uchi wakabaki kushangaa wakawa wanaitana kutahamaki kushakucha. Jaribu utanitag
[emoji4] [emoji4] [emoji4]....unapiga vitatu? Huna kazi mjini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ningesola migulu nikabana...
Umenikumbusha mbali..
Mambo ya segere.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]..ni agemate wangu, sibishi ila ile kupigwa pampu muulize anko wangu
Konyo nini!!?Loh!
Cheko la unaa hili..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Domo kama , lodi lofa kakosa kiko amebwia ugoro kwa hisia za kiko..[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji57] [emoji57] [emoji57]
We nin wenyewe tumekubali sisi ni vibabu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] obe wangu sio babu kwa kweli
Inasikitisha lakini imebidi nicheke[emoji15] [emoji15] [emoji17] [emoji17] [emoji17] Aahhh...Mamamae walahi.. huyo maza mpole angekuwa husna wa obe mtiti wake si mchezo arifi, angedai figo yake.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Mshikaji kumbe wewe ndo mpwendwa wa anko yetu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]Amina Amani ya BWANA IWE DAIMA NANYI ..NAWAPENDA MJUE [emoji7] [emoji7]
Eheee....endelea tuKibiriti ngoma weee...
AminAsante sana Mkuu Shululu kwa magazeti,Asante saana Lee kwa unbeliavable facts Mungu awabariki na kuwainua jumapili ikawe ya baraka na kumpendeza Mungu wetu..Mbarikiwe Makapuku wote.
Shalom
MendeChawa, kunguni..[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naona Leo umeamka na upako[emoji524]Ee Mungu wangu nakurudishia sifa utukufu na heshima kwa kuwa umenipa kibali cha kuiona siku hii ya leo nikiwa mwenye nguvu na afya njema. Ee Mungu naomba unijalie Kuomba ndani ya moyo wangu kusiko koma maana Neno lako linasema luk 18:1 Akawaambia mfano ya kwamba imewapasa kumuomba Mungu siku zote wala wasikate tamaa isaya 62 Enyi walinzi wenye kumkumbusha Bwana msikae kimya wala msimwache akae kimya mpaka atakapolifanya imara agano lake, pia tunaambiwa tuombe bila kukoma.Nb Sikia mtu wa Mungu usikate tamaa hata siku moja kabla maombi yako hayajajibiwa ,usiache kumkumbusha Mungu mpaka uhakikishe umepata kile unachohitaji, Mungu wetu ni mwaminifu sana anatusikia na Ahadi zake ni za kweli na Amini ,.nakutakia jumapili njema Nenda ukafanikiwe ,Baraka za Mungu ziwe juu yako .
Upo dear za jumapiliNaona Leo umeamka na upako
Na mayonaiseHyo anayokukaushia, Akufungie au unakula hapa hapa.. unaweka kila kitu, tomato, chili,salad na pilipili[emoji60]