Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Unataka kusema mama mchungaji anakwiba mume ya mtu, siamin hata kwa ak 47 mpaka nione picha..Ila naomba niachie obe wangu![]()
![]()
Fyuuumbaaafyuuu zako weeNdio nimempa.. alikuwa anaguna guna.
Aahh.. hujanielewa, yaani mie muoga wa kwenda polisi, maana sichelewi kumkata mtu ngwala..Kumbe na we ni kaogaa![]()
![]()

Nzuri kabisa shemejiNdiooo shaemeji
Habari za huko
Sawa bro we endelea kufyatua watotoAahh.. labda viwanda vya watoto, lakin hiv vingine tuwaachie wenyewe.
Njema Leo niko nje ya mbeyaShemeji za mbeya
Konyo weeeFyuuumbaaafyuuu zako wee
Hilo kilaza.. bashite hiloo.. lilikuwa halijaelewa.Mfyuuuu lione![]()
![]()
![]()
nilikuwa sjaelewa

Asante shemeji karibu kibamba leoNzuri kabisa shemeji
Wanatuyeyusha tuuSawa bro we endelea kufyatua watoto
Sawa bro habari za siku lakiniWanatuyeyusha tuu
Salama tu, za weekend?Sawa bro habari za siku lakini
Ileje ni niniNjema Leo niko nje ya mbeya
Asante shemejiAsante shemeji karibu kibamba leo
Hapo veepiAsante shemeji karibu kibamba leo
Njema Leo niko nje ya mbeya
Wapi hujaelewaHapo veepi
Sawa nakusubiri tukasali kwa gwajima leoAsante shemeji