shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Na kwako pia jirani..
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Na kwako pia jirani..
Ndio raha yangu[emoji3] [emoji3] [emoji3] naona unafaidi vippro mwenyewe
Namshukuru Allah niko poaNiko poa, vp hali chief?
[emoji4] [emoji4] [emoji4]....marhaba binamu, nipo tunapasha viporo
Mshikaji kumbe wewe ndo mpwendwa wa anko yetuPoa mshikaji
Amina Amani ya BWANA IWE DAIMA NANYI ..NAWAPENDA MJUE [emoji7] [emoji7]View attachment 604370Kwa udhamini mnono wa Mama mchungaji BH Nawatakieni jumapili njema Mungu awabariki wote
Mwenyewe banaaKoma we nani mngindo.. nyauba wee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kibiriti ngoma weee...Mwenyewe banaa
Ndio chenyewe hichooHcho c ktmbi mmbonyeo eeh[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Barikiwa nawe pia.[emoji524] Waebrania 10:25 wala tusiache kukusanyika pamoja kama ilivyo desturi ya wengine bali tuonyane na kuzidi kufanya hivyo ...
MBARIKIWE[emoji115][emoji115]
Hilo ndio kubwa.. tuwe wingi wa shukran kwake.Namshukuru Allah niko poa
SawaaaPyeee mkorea wa kwanza kuunza ndizi tandale[emoji23] [emoji23]
Kweli kabisaHilo ndio kubwa.. tuwe wingi wa shukran kwake.
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Halafu pyeeee.. ni sauti ya uharo wa mtoto mchanga...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23]
Chawa, kunguni..[emoji125] [emoji125] [emoji125]Sawaaa
AsanteAsante sana Mkuu Shululu kwa magazeti,Asante saana Lee kwa unbeliavable facts Mungu awabariki na kuwainua jumapili ikawe ya baraka na kumpendeza Mungu wetu..Mbarikiwe Makapuku wote.
Shalom
Twakupenda pia ujue..Amina Amani ya BWANA IWE DAIMA NANYI ..NAWAPENDA MJUE [emoji7] [emoji7]
Kunguni usiku wamekushangaa au umewashangaza chief??Chawa, kunguni..[emoji125] [emoji125] [emoji125]