Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Sasa mbona unaingia kwa kubeep hivi tenaHahaa.. aniteke nani mie ndugu yangu... Mtekaji anatekeka!?
Sasa mbona unaingia kwa kubeep hivi tenaHahaa.. aniteke nani mie ndugu yangu... Mtekaji anatekeka!?
Aaah nilidhani aliazisha kabisa uzi kuhusu kusema makapukuUnataka kwenda kutukana au huko uliwekwa uzi mwingine huyo mtu akaongelea makapuku
Hapana alichomekea tu huko ulitaka kwenda kuliamsha dudeAaah nilidhani aliazisha kabisa uzi kuhusu kusema makapuku



Aahh.. ya msondo namuachia ngurumo.Sasa mbona unaingia kwa kubeep hivi tena
Ananiachiaje kwa mfano wakat aliyeniteka ananifurahia mateka wake.. ushawah kuona mateka kamteka mtekaji..

Mkalale wapiiii ebu acheni kutuchora ukiaga hivyo badae my love wako anarudi
Hata mm nmemuumba wa kwangu lkini naona kama hafiti vile
ujue natamani kukujua binamu ebu niambie mwonekano wako yaan halaf una age gani binamu mana me nimeshamuumba binamu yangu obe ujue alivyo
Duh !!!...wanalala kwa nafasi yaani ulitaka walale mlalano wa mbwa hadi tuje tuwaachanishe.
Ukiona kaja huku ujue kaja kutafuta chaji
MITHALI 3:5-6

Nimekupenda sana muonekano wako unavutia...ngoja nikuchoree nilivyo, kwanza nina kichwa kinachopendeza kipara, shingo nene kidogo, mrefu 5.10ft, tumbo huwa linabadilikabadilika ila mara nyingi ni 8pack halafu ni mweusi, macho mekundu. Sivuti sigara wala sinywi pombe, napenda K tatu maana Nyerere alihimiza sana tuzijue.
Nimesahau age kukuambia, age yangu siruhusiwi kugombea tena UVCCM au BAVICHA sasa nipo katikati hapo.
Afu napenda muziki
![]()

Mkuu hapo Dickson imekaa upande gani...ngoja nikuchoree nilivyo, kwanza nina kichwa kinachopendeza kipara, shingo nene kidogo, mrefu 5.10ft, tumbo huwa linabadilikabadilika ila mara nyingi ni 8pack halafu ni mweusi, macho mekundu. Sivuti sigara wala sinywi pombe, napenda K tatu maana Nyerere alihimiza sana tuzijue.
Nimesahau age kukuambia, age yangu siruhusiwi kugombea tena UVCCM au BAVICHA sasa nipo katikati hapo.
Afu napenda muziki
![]()
AmenMITHALI 3:5-6
*Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
SIKU NJEMA WAPENDWA WANA WA MUNGU MBARIKIWE SANA LOVE YOUU![]()
![]()
![]()
![]()
![]()