makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,956
- 104,350
Anaboost.....wanalala kwa nafasi yaani ulitaka walale mlalano wa mbwa hadi tuje tuwaachanishe.
Ukiona kaja huku ujue kaja kutafuta chaji

Anaboost.....wanalala kwa nafasi yaani ulitaka walale mlalano wa mbwa hadi tuje tuwaachanishe.
Ukiona kaja huku ujue kaja kutafuta chaji

KwemaHey kwem huku
Nani huyo!!?Acha tu mke mwee niliyemkuta huwa anakuepo sana makapuku humu nimekuta kapost kwenye uzi mmoja huko jukwaa la malalamiko eti makapuku ilikua zamani sasa hivi jukwaa la mapenzi

Amini. Baraka ziwe juu yetu sote.. we love you zaid..MITHALI 3:5-6
*Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
SIKU NJEMA WAPENDWA WANA WA MUNGU MBARIKIWE SANA LOVE YOUU![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Morning za uzimaMorning mabibi na mabwana...
Salama tu, vipi hali yako mpendwa wangu..?Morning za uzima
Morning jiraniMorning mabibi na mabwana...
Vipi hali jiraniMorning jirani
Nimekupenda sana muonekano wako unavutia![]()
heshima yako ankali...asante sana, sasa hapo nisisikie tena mwanao analeta mambo zake.
Good morning
Amen, we love u too hunMITHALI 3:5-6
*Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
SIKU NJEMA WAPENDWA WANA WA MUNGU MBARIKIWE SANA LOVE YOUU![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...ngoja nikuchoree nilivyo, kwanza nina kichwa kinachopendeza kipara, shingo nene kidogo, mrefu 5.10ft, tumbo huwa linabadilikabadilika ila mara nyingi ni 8pack halafu ni mweusi, macho mekundu. Sivuti sigara wala sinywi pombe, napenda K tatu maana Nyerere alihimiza sana tuzijue.
Nimesahau age kukuambia, age yangu siruhusiwi kugombea tena UVCCM au BAVICHA sasa nipo katikati hapo.
Afu napenda muziki
![]()
Goodmorning Obe...asante sana, sasa hapo nisisikie tena mwanao analeta mambo zake.
Good morning