moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,040
- 16,870
Acha tu mke mwee niliyemkuta huwa anakuepo sana makapuku humu nimekuta kapost kwenye uzi mmoja huko jukwaa la malalamiko eti makapuku ilikua zamani sasa hivi jukwaa la mapenzi

Acha tu mke mwee niliyemkuta huwa anakuepo sana makapuku humu nimekuta kapost kwenye uzi mmoja huko jukwaa la malalamiko eti makapuku ilikua zamani sasa hivi jukwaa la mapenzi

Hata mm nmemuumba wa kwangu lkini naona kama hafiti vileujue natamani kukujua binamu ebu niambie mwonekano wako yaan halaf una age gani binamu mana me nimeshamuumba binamu yangu obe ujue alivyo
Hata mm nmemuumba wa kwangu lkini naona kama hafiti vile






kumbe sipo peke yangu mke mwee
Mamaa Tetra mambo vp
Kwakweli shemela kubadilika siwezi yaan siweziiii![]()
ucbadilike mke mweeeNa humu hasira hakuna.. kama una hasira nenda kwa steven wassira huko..Ukiwa na hasira inaweza kulia kwa kweli
Embu niache kwanza, unajua nilishaingia kutafuta huo uzi uliosema umeanzishwa kuhusu jukwaa letu pendwaVeeeeep
mambo poa luv, za weweMamaa Tetra mambo vp
Muziki: Kigeugeu
Ujue kesho ni Alhamisi, yes na kama ulikuwa hujui basi najishukuru kwa kukumbusha maana bila hivyo ungelala ndani ukijua kabisa kwamba leo ni Jumanne. Mara baada ya kupokea asante yako Kapuku mheshimika nami ninakusalimia maana huu ndo uungwana ambao umetushikilia hapa bila kujali khali zetu.
Basi bhana, nilirudi tena Lindi na safari hii nikaona nisifikie kwa wale washua niliofikia kwao wiki jana, why, kwanza nina fungu la kutosha kukaa guest house na pili wale jamaa ni vigeugeu sana, siku nimetangaza kuondoka mchana wakaanza maandalizi ya kupika pilau la mbuzi na watakula usiku! Unashangaa, bora wewe unashangaa mimi nilipatwa na kiungulia kabisa, yaani nimekaa siku mbili ni mwendo wa wali ndondo na ming'oko asubuhi natangaza kuondoka wanapika pilau?! Niliwabana, la mbona mimi nina mwili wa wastani tu nitawabana vipi na tunapokula tunakula na vijiko tonge langu hawalijui. Anyway nisilalamike sana maana nami nimeamua kugeuka na kwenda kukaa guest. Nitawasiliana na anko wangu anipe namba za wale wenyeji mahsusi.
Muziki sasa, ni siku nzuri kuburudika na kufurahia usiku wakati unajiandaa kuulalia ubavu wako. Oh, siku nyingine nitaeleza namna ya kulala maana wengine wanalalana ubavu ubavu wengine full vigeugeu kugeuka geuka tu wala hujui analalia wapi..
Mke mwee nakubadilika kwenyewe ujue siwezi yaan nitamuongopea Mungu wangu me kuact siwezi jaman![]()
![]()
ucbadilike mke mweee
Maka veeep aliyekuteka akuachie basi sio unaingia kwa kubeepUsiku mwema wajameni.. nawapendeni wote.. tena kwa ratio sawa.
Unataka kwenda kutukana au huko uliwekwa uzi mwingine huyo mtu akaongelea makapukuEmbu niache kwanza, unajua nilishaingia kutafuta huo uzi uliosema umeanzishwa kuhusu jukwaa letu pendwa
Mkalale wapiiii ebu acheni kutuchora ukiaga hivyo badae my love wako anarudiMy love twende tukalale, tumuachie jukwaa shunie the
Na humu hasira hakuna.. kama una hasira nenda kwa steven wassira huko..







Siwezi mie shemela acha niendelee tu kuwa hivi hivi shunie![]()
![]()
![]()
kwa nini shemela
Hahaa.. aniteke nani mie ndugu yangu... Mtekaji anatekeka!?Maka veeep aliyekuteka akuachie basi sio unaingia kwa kubeep