shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Kwenye ubora wako shemela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye ubora wako shemela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My love Tumosa Asante kwa chakula
Ndio huyo bonge [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ule ule shemela wala sijabadilika kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye ubora wako shemela
Ahahahhh walikukomeshaMuziki: Kigeugeu
Ujue kesho ni Alhamisi, yes na kama ulikuwa hujui basi najishukuru kwa kukumbusha maana bila hivyo ungelala ndani ukijua kabisa kwamba leo ni Jumanne. Mara baada ya kupokea asante yako Kapuku mheshimika nami ninakusalimia maana huu ndo uungwana ambao umetushikilia hapa bila kujali khali zetu.
Basi bhana, nilirudi tena Lindi na safari hii nikaona nisifikie kwa wale washua niliofikia kwao wiki jana, why, kwanza nina fungu la kutosha kukaa guest house na pili wale jamaa ni vigeugeu sana, siku nimetangaza kuondoka mchana wakaanza maandalizi ya kupika pilau la mbuzi na watakula usiku! Unashangaa, bora wewe unashangaa mimi nilipatwa na kiungulia kabisa, yaani nimekaa siku mbili ni mwendo wa wali ndondo na ming'oko asubuhi natangaza kuondoka wanapika pilau?! Niliwabana, la mbona mimi nina mwili wa wastani tu nitawabana vipi na tunapokula tunakula na vijiko tonge langu hawalijui. Anyway nisilalamike sana maana nami nimeamua kugeuka na kwenda kukaa guest. Nitawasiliana na anko wangu anipe namba za wale wenyeji mahsusi.
Muziki sasa, ni siku nzuri kuburudika na kufurahia usiku wakati unajiandaa kuulalia ubavu wako. Oh, siku nyingine nitaeleza namna ya kulala maana wengine wanalalana ubavu ubavu wengine full vigeugeu kugeuka geuka tu wala hujui analalia wapi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmmh, umekula usiku sana! Ni chakula gani kwani?
Kweli hujabadilika shemelaUle ule shemela wala sijabadilika kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au shemela wangu unataka nibadilike jamaan [emoji134] [emoji134]Kweli hujabadilika shemela
Ahahahhh walikukomesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue natamani kukujua binamu ebu niambie mwonekano wako yaan halaf una age gani binamu mana me nimeshamuumba binamu yangu obe ujue alivyo..mimi ndo nimewakomesha! Hawatakuwa na mtu wa kumpiga majungu wakati wanakula
Ukibadilika kidogo sio mbaya shemela [emoji3] [emoji3] [emoji3]Au shemela wangu unataka nibadilike jamaan [emoji134] [emoji134]
Sawa sawa shemela nikibadilika unaniambia nasalimia kwa mbali nitabadilika shemela [emoji41][emoji41][emoji41]Ukibadilika kidogo sio mbaya shemela [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sawa shemelaSawa sawa shemela nikibadilika unaniambia nasalimia kwa mbali nitabadilika shemela [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji173]My love Tumosa Asante kwa chakula
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Muziki utawajia baada ya kumalizana na wanaonifanyia fitna hadi nashindwa kutabasamu
Ndo huyo mwenye tumbo kubwa eeeh....yupo anafurahia siku zake.
Siku zake za mapumziko
![]()
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndio huyo bonge [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiwa na hasira inaweza kulia kwa kweli
[emoji134] [emoji134] [emoji134]mmmh, umekula usiku sana! Ni chakula gani kwani?
Kwakweli shemela kubadilika siwezi yaan siweziiii [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Sawa shemela