Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Sio wanafki wa jukwaa hili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]salaam kwenu wapendwa
Sio wanafki wa jukwaa hili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]salaam kwenu wapendwa
shemu umekoseaa auSio wanafki wa jukwaa hili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem sijakosea ujueshemu umekoseaa au
uchovu wa safari au sijaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem sijakosea ujue
Marhabaa mjukuu wangu... Jambo wewe? Baba wawili?Shikamoo babuu
shemu umekoseaa au
Hmmmm.... Baba D mwenyewe alikuwa katekwa... Au mlitekwa wote? [emoji23][emoji56][emoji23]Baba D amenificha shikamoo babu
sorry mjomba wake lee......tehe tehe tehe tehe , mjomba , ukifichwa fichamana.
Marhabaa mjukuu wangu!Baba D amenificha shikamoo babu
Salama mume wngu umeshindaje
sorry mjomba wake lee
ni mm niliingia kwa account yake ila anakusalimia sana
Habari zenu mabibi na mabwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unaaminiuchovu wa safari au sijaelewa
Mishe vipi!?...salama sana jembe na nyundo
binamu una mambo lakini hayo ya giresii umeyaiba wapiiHa ahahhahahaha, mjomba tulia, kuna mengi! Aunty yangu anadai umemficha lakini nyeti zinaonesha umefichwa na wewe sasa Giresi umemficha wapi?
Kwenye ubora wako kabisa sasa mbona me ndio niliyemficha......tehe tehe tehe tehe , mjomba , ukifichwa fichamana.
Tumetekana wote wa kumficha baba d zaidi yangu sijaona [emoji41][emoji41]Hmmmm.... Baba D mwenyewe alikuwa katekwa... Au mlitekwa wote? [emoji23][emoji56][emoji23]
Nahisi ni changa hasa tena lile changa la macho..[emoji23] [emoji23]....mbona mnasalimiana kila wakati? Penzi lenu changa sana nini?