Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Mke mwee shangaa na wewe
Mke mwee shangaa na wewe
....kunywa tu, alikuficha yaani anaogelea kama samaki tena akiwa pale samakisamaki ndo utaona anavyokata maji akiwa na wapenzi watazamaji waliovaa vimini vya vitenge

Wapoooooooooo wengine nimekutana nap huko wanalalamika humu sasa hivi ni mambo ya mapenzi tuwatu wana wivu we kama hauna baby si utafute
wapi hiko wanakplalamika mke mweee,wajinyonge tuKazana mkuu uende ulaya labda hakuchoshi hkoNdiyo Kwanza Nina dola 1000
Acha tu mke mwee niliyemkuta huwa anakuepo sana makapuku humu nimekuta kapost kwenye uzi mmoja huko jukwaa la malalamiko eti makapuku ilikua zamani sasa hivi jukwaa la mapenzi![]()
![]()
wapi hiko wanakplalamika mke mweee,wajinyonge tu
Nmefurahi shemeji ynguShemela mbona meno thelathini na nje yote mbili.
Poa hbr ya chimboMajukumu tu shemela.. mambo mambo..
Ukiwa na hasira inaweza kulia kwa kweliHumu kuna maswalj ya kijinga na majawabu ya kipumbavu..
![]()
![]()
![]()
....afu usisahau kuna mawazo ya kikuda pia. Yaani humu acha tu, ukiamka wanalala ukikoroma ndo wanazidi kukufunika shuka na kukuwekea muziki

Unawapa ruksa watu huogopi murder case mjukuu mwee?![]()
![]()
wapi hiko wanakplalamika mke mweee,wajinyonge tu
Binamu kigeugeu jamaaniMke mwee shangaa na wewe
Watajijua sisi tuendlee na maisha yetu humuAcha tu mke mwee niliyemkuta huwa anakuepo sana makapuku humu nimekuta kapost kwenye uzi mmoja huko jukwaa la malalamiko eti makapuku ilikua zamani sasa hivi jukwaa la mapenzi
Yaan kigeugeu kama kinyongaBinamu kigeugeu jamaani
Hupaswi kulia... Unatakiwa ucheke uondoe stressUkiwa na hasira inaweza kulia kwa kweli