Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Mke mweee mamboAmeen mama yangu![]()
umenigusa sana na neno la leo barikiwa mama nakupenda mimi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mke mweee mamboAmeen mama yangu![]()
umenigusa sana na neno la leo barikiwa mama nakupenda mimi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Na we tafuta baby pia hujakatazwa na kuliamsha humu kila siku watu wanaliamsha mambo ni yale yale tu hakijabarika kitu kapuku kama bus tu ukishuka wengine wanapanda

LEO KATIKA HISTORIA
Tarehe 29 Septemba ni siku ya 272 ya mwaka (ya 273 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 93.
Hapana asante sanaNikuagizie nini?

Shikamooo
Shikamoo babuMjukuu wa mimi!!!
Poa mke mwee za wewe mama jj wa instaMke mweee mambo
Babuuu shikamooooMjukuu wa mimi!!!
Kweli mke mwee magazeti yapo leo kwenye historia ipooo uf ipooo muziki upooo sala zipooo yaan mambo ni yale yale hakuna kilichobadirika kabisa
Marhabaa mjukuu mwee.... Jambo wewe?Babuuu shikamoooo
1920 - Peter Mitchell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1978 alizaliwa
Binamu heshima yako
Kweli mke mwee magazeti yapo leo kwenye historia ipooo ufi pooo muziki upooo sala zipooo yaan mambo ni yale yale hakuna kilichobadirika kabisa
alichokuwa anakitafuta kakipataMarhabaa mjukuu wangu.... Jambo wewe?Shikamoo babu
1942 - Ian McShane, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza anazaliwa
Cjambo mm pole na mihangaikoMarhabaa mjukuu mwee.... Jambo wewe?
Ewaaaaaa huyo huyo ndio wa kumpa shikamoo mke mweeShikamooo
MhhPoa mke mwee za wewe mama jj wa insta
Mkuu shikamoo