Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aisee nina ugonjwa na nissan hatar.. though napenda manual zaid.
Hahaa...

Manual ni tamu sana mkuu.

U feel the touch of Driving..

1b451c93d70b9740550730f549e23233.jpg

ae0f4e9f14eb827778bce80c10e6a4d1.jpg

718fc43e83b4dd21b15c0100f05b6fdf.jpg
 
Iko hv napiga ndondo, hapa kuna wale ma x wanaomisi show, na wengine wengi wenye kupenda huduma lakin niko mkweli kwao sina mapenz juu yao zaid ya kustarehesha miili yenu.. a lot of bitchz uraiani.. kwahyo sikosi game.. ukiwa mchezaji mzur hukosi ndondo za hapa na pale, napata games as if nimeoa...
Umalaya huo
 
Nilikimbia shule, sijui matumizi ya t kubwa na ndogo..

Hiv nikiandika t na T vinasomeka tofauti eehh..[emoji23] [emoji23] [emoji23] au ndio mahaba tena yanakupeleka speed of light..
Kama kuna mwalimu anisaidie, mwenyewe nimesoma memkwa....

Najua majina ya watu huanza na herufi kubwa.... Ni bora ukosee langu kuliko la mume wangu
 
Back
Top Bottom