Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Acha roho ngum ndg![]()
![]()
lol!
Acha roho ngum ndg![]()
![]()
lol!
OkPamoja sana kwa team Makapuku wote.
Tusipo angalia tutamkosa kijana.Daah hii kitu acha kabisa
Huko njiani lazima mtu atatumbuliwa.
Nilikua natoa like tuu mkuu, bado nlikua sijakaa sawaPunje naona unapita kimyakimya humu
Dah tukakumis sana tulikua apa na bitoz akiwaombea njaa Liverpool lakini siku yake ikaenda vibaya tuuBrowser inachosha, inakuwa nzuri kama ukitumia laptop ila kwa simu jau, ndomana niliona isiwe tabu nikaamua kulala.
Mie sina tatizo na aggyjay, ila kwa ujumbe aloandika jana ulinishtua mpaka mke wangu akagundua kama kuna kitu kimenitokea maana mda huo ndo nilikuwa kwenye maandalizi ya kwenda kazini. Nilinyong'onyea kiukweli, ila yameshaisha sasa. Naomba tuwe pamoja tena, tucheke pamoja kama zamani na tuufurahie Ukapuku wetu pamoja.Kaka sema neno kwa Aggy, wew ni mwanaume, onyesha ukomavu wako kiakili na uvumilivu, aggy naye aliumia kumbe, tena anaumwa kama wewe, sahau yalopita. Mwenzio anaomba msameheane yaishe kaka, sema neno kwake. Nakuheshimu usiniangushe
Habari yako brother.Nilikua natoa like tuu mkuu, bado nlikua sijakaa sawa
Aggy wew shem la ukweli naona umeonyesha ujasiri
Good morning brother.Gudmornin family
Good morning brother.
Uko poa?
Yes. Nimeshampa pole yake.Pole sana kaka.
Aggyjay pia anaumwa.
Poa mambo namna gani mkuuHabari yako brother.
Homa ya mapenzi ilikuwa zamani sio kipindi hiki.Kijana anaumwa homa ya mapenzi.