Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
Asante my.NtatafutaPoa na pole sana kwa homa....
Hope umepata matibabu
Asante my.NtatafutaPoa na pole sana kwa homa....
Hope umepata matibabu
Heri wapatanishi....Mmhhhh mie siko hukoooo
Si unaona wenyewe wako kimya
youngblood ndo aliyesema na alikuwa anamwambia Jimena.Muulize kaz za usiku ni zip maan hapo kama umeniacha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Asante wii! msalimie mzee wa busara manuuPole sana mamy
Mungu akupe afya njema
Aggyjay jamani pole, umemtesa sana kaka Emmy hadi aliamua kuacha kapuku forum! Ili bidi niongee naye chemba ndipo akarudi, kiukweli aliumia sana kukukosa, najua nawe uliumia pia, so nakuomba muombane msamaha yaishe wapendwa, wote mlikosea msiwe na mioyo migumu jamani let love lead
Afya sawa, ila tatizo wikiendi kuharibu kwingi.... .Wifi najua hupendi kujenga taifa![]()
Najua unapenda unapenda kujenga afya hivyo nimekuletea matunda uendelee kujenga afyaaAaaA![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hurumieni hawa watuHabari ya asubuhi wanafamilia wote!
Mwenzenu naumwa, homa iko inanisumbua sana.
wanahitaji maombi..naamuru wapone sasaMambo jamani?
Mi leo siko poa nimeshikwa na homa tangu jana
Emmyguy mwenzako amesamehe na kukutaka usamehe nawe sema neno kakaMi wala sina tatizo my,japo nlikwazika but sasa nshasahau!
Emmyguy usiondoke na kama maneno yangu Yalikukwaza nisamehe!
Habari ya asubuhi wanafamilia wote!
Mwenzenu naumwa, homa iko inanisumbua sana.
Kwavile youngblood ni mlinzi ndio anadhania kuwa watu wote ni walinzi kama yeyeyoungblood ndo aliyesema na alikuwa anamwambia Jimena.
Nambie kaka.Hello
Pole sana braza.Ht me jana usiku ilikuwa full magumashi nikaingia kwenye browser
Halafu browser ngumu kuliko App
![]()
![]()
![]()
.................
Kaka sema neno kwa Aggy, wew ni mwanaume, onyesha ukomavu wako kiakili na uvumilivu, aggy naye aliumia kumbe, tena anaumwa kama wewe, sahau yalopita. Mwenzio anaomba msameheane yaishe kaka, sema neno kwake. Nakuheshimu usiniangusheNambie kaka.
Morning jimena.Morning kaka
Habari yako kaka.Habari ya asubuhi wanafamilia wote!
Mwenzenu naumwa, homa iko inanisumbua sana.
Pole aggyjay.Mambo jamani?
Mi leo siko poa nimeshikwa na homa tangu jana