EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Si njema sana maana homa inanisumbua.Habari yako kaka.
Si njema sana maana homa inanisumbua.Habari yako kaka.
Utakapo msamehe aggy mara afya itarejeaSi njema sana maana homa inanisumbua.
Asante madam.Salama kabisa, pole na homa
Hapana, ni ugonjwa kabisa.Homa ya aggy nin!
Asante aggyjayMi wala sina tatizo my,japo nlikwazika but sasa nshasahau!
Emmyguy usiondoke na kama maneno yangu Yalikukwaza nisamehe!
Pole asee, Mungu akuponye kwa ugonjwa ulionao.Mambo jamani?
Mi leo siko poa nimeshikwa na homa tangu jana
Pole sana, pamoja na kujiuguza muuguze na mkeo aggy akutegemea useme neno apone piaHapana, ni ugonjwa kabisa.
Pamoja sana kwa team Makapuku wote.Aggyjay jamani pole, umemtesa sana kaka Emmy hadi aliamua kuacha kapuku forum! Ili bidi niongee naye chemba ndipo akarudi, kiukweli aliumia sana kukukosa, najua nawe uliumia pia, so nakuomba muombane msamaha yaishe wapendwa, wote mlikosea msiwe na mioyo migumu jamani let love lead
Umeanza kunichokonoa.Kwavile youngblood ni mlinzi ndio anadhania kuwa watu wote ni walinzi kama yeye
Sawa lakini aggy ataka ujumbe mahususi kwake na sio General kama huuPamoja sana kwa team Makapuku wote.

Pole sana kaka.Si njema sana maana homa inanisumbua.
Kijana anaumwa homa ya mapenzi.Utakapo msamehe aggy mara afya itarejea
Asante shem, tiba nimeshapata tayari.Pole sana Shem umeshapata tiba ?
Daah hii kitu acha kabisaKijana anaumwa homa ya mapenzi.
Maliza bhana mwenzio apone piaPole sana kaka.
Aggyjay pia anaumwa.
Kijana anaumwa homa ya mapenzi.
Asante shem, tiba nimeshapata tayari.
Daah hii kitu acha kabisa
Hahahaaa...Tiba ya Emmyguy ni Aggyjay arejee

Emmy upoMi wala sina tatizo my,japo nlikwazika but sasa nshasahau!
Emmyguy usiondoke na kama maneno yangu Yalikukwaza nisamehe!
Kaka sema neno kwa Aggy, wew ni mwanaume, onyesha ukomavu wako kiakili na uvumilivu, aggy naye aliumia kumbe, tena anaumwa kama wewe, sahau yalopita. Mwenzio anaomba msameheane yaishe kaka, sema neno kwake. Nakuheshimu usiniangushe
Emmyguy anaumwa na
Aggyjay anaumwa na juzi
Walitofautiana hhee!
Hamuoni kuwa watu wanamisiana hadi wanaumwa?
lol!