EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Shaweka tayari.Maliza bhana mwenzio apone pia
Shaweka tayari.Maliza bhana mwenzio apone pia
Karibu.Nzuri
Nipo kaka.Emmy upo![]()
Mambo yako vizuri brother.Poa mambo namna gani mkuu
Hahahaa...Tusipo angalia tutamkosa kijana.

Safari njema kwa prezdaa wetu.
Ni njema sana kaka, niaje kwako.Wasaalaaam wakuu
Heshina yako mkuu.hahaha makapuku mpo.
swissme
Tumejaa tele.hahaha makapuku mpo.
swissme
Salama. Mzima lakini?Gudmornin family
Wewee, nani kakudanganya?Haha aggy na emmyguy hiyo kuumwa kwenu kwa pamoja ni coincedence tu au kuna kingine
Hahahaaa.... Ngoja wajee..Mheshimiwa SPIKA nashukuru kwa kunipa
nafasi na mimi niweze kuuliza swali kwa
mheshimiwa WAZIRI WA MICHEZO,
Tumeshuhudia CHURA WA SNURA akifungiwa
kwa kosa la KURUKARUKA bila utaratibu, Je
vipi kuhusu VYURA WA JANGWANI
WANAOBEBWA bila utaratibu??!! Tafadhali
naomba majibu ya kurizisha, ahsante...!!!
Pole kwa wafiwa.
Hahahaaa.... unaogopa wasije kukuchinjia baharini??na logout mda si mrefu![]()
![]()
![]()
Ni mda wa lunch, karibuni wanafamilia tujumuike pamoja.
Ni mda wa lunch, karibuni wanafamilia tujumuike pamoja.