Makapuku Forum

Makapuku Forum

Cobblepots Jimena briz nimewawakilisha vyema japo changamoto zilikuwa nying
Pamoja sana mkuu, nilikuwa na tatizo la kuingia JF toka jana usiku, yani ilikuwa ni mpaka nitumie browser ila application ilikuwa hainipi option ya kureply wala kuqoute sasa nimelazimika kuifuta na kuidownload upya ndo naona mambo yako sawa sasa,

Nafurahi mmewakilisha vyema na nakutakia siku njema
 
cd609dce11ed8c843a9dfbfeb6302c88.jpg
 
Pamoja sana mkuu, nilikuwa na tatizo la kuingia JF toka jana usiku, yani ilikuwa ni mpaka nitumie browser ila application ilikuwa hainipi option ya kureply wala kuqoute sasa nimelazimika kuifuta na kuidownload upya ndo naona mambo yako sawa sasa,

Nafurahi mmewakilisha vyema na nakutakia siku njema
Ht me jana usiku ilikuwa full magumashi nikaingia kwenye browser
Halafu browser ngumu kuliko App

.................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom