EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Unavizia eehh...
Hongera braza.
Unavizia eehh...
Browser inachosha, inakuwa nzuri kama ukitumia laptop ila kwa simu jau, ndomana niliona isiwe tabu nikaamua kulala.Ht me jana usiku ilikuwa full magumashi nikaingia kwenye browser
Halafu browser ngumu kuliko App
![]()
![]()
![]()
.................
Hello kaka, habari ya ijumaaa?Hello dada!
Salama kabisa, pole na homaHabari ya asubuhi wanafamilia wote!
Mwenzenu naumwa, homa iko inanisumbua sana.
Homa ya aggy nin!Habari ya asubuhi wanafamilia wote!
Mwenzenu naumwa, homa iko inanisumbua sana.
Njema dada, nafurahi kukuona dadangu!Hello kaka, habari ya ijumaaa?
Poa na pole sana kwa homa....Mambo jamani?
Mi leo siko poa nimeshikwa na homa tangu jana
Aggyjay jamani pole, umemtesa sana kaka Emmy hadi aliamua kuacha kapuku forum! Ili bidi niongee naye chemba ndipo akarudi, kiukweli aliumia sana kukukosa, najua nawe uliumia pia, so nakuomba muombane msamaha yaishe wapendwa, wote mlikosea msiwe na mioyo migumu jamani let love leadMambo jamani?
Mi leo siko poa nimeshikwa na homa tangu jana
Njema bro, niaje?Habari za Ijumaaa wadau.
Pole sana Shem umeshapata tiba ?Habari ya asubuhi wanafamilia wote!
Mwenzenu naumwa, homa iko inanisumbua sana.
Pole sana mamyMambo jamani?
Mi leo siko poa nimeshikwa na homa tangu jana
Asante wifi..... Nyie jengeni tu afya wii wikiendi sisi wengine tunaharibuSiku njema wifi
Karibu tujenge afya![]()
![]()
![]()

Shem namiss wewSiku njema wifi
Karibu tujenge afya![]()
![]()
![]()
Tiba ya Emmyguy ni Aggyjay arejeePole sana Shem umeshapata tiba ?
Wifi najua hupendi kujenga taifaAsante wifi..... Nyie jengeni tu Taifa wii mkimaliza mi ntakuja kupaka rangi![]()
![]()
![]()

Mmhhhh mie siko hukooooTiba ya Emmyguy ni Aggyjay arejee