Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Mdau za jumapili
Huyo ndio binamu yako
....hivi mdau, haumjui mganga mzuri anayejua kuroga bila kukosea!?
Jpili iko poa sana hapa Lindi na sio Mtwara
Mdau za jumapili
Huyo ndio binamu yako
Ndio hivyo shemela
Nimekwelewa dadaSasa me si mwanamke jaman na nimekujibu wanatumia ke ulivyoendelea tena nimeshindwa kuelewa umemaanishaje
Umetoaa facts kabla hutujachapishaaa....haki milikiii....bado wanasayansi na wahandisi wako kwenye utafiti kama shikamoo husababisha ukosefu wa nguvu za kutongoz(w)a.
Au kaka labda unajua me mwanaume etiii ujue swali lako sijalielewa kabisaNimekwelewa dada
Nina Yesu vitashindwa kwa jina lake....hivi mdau, haumjui mganga mzuri anayejua kuroga bila kukosea!?
Jpili iko poa sana hapa Lindi na sio Mtwara





Dar naijua vizuri sanaHajui mambo ya dar ujuekila mtu na kwake jirani
Sawa kakaSawa na mimi siji dada maana naona mjini mnabaguana msije mkanibagua na mimi
Basi mama kanitumia picha zenu hivi kwa umevaa vile au sababu ya mama jamaan![]()
Ndio tunavyoishi hivyoDar naijua vizuri sana
Mm husna amenambia mapema ...nakuwa mgeni wa naniiii mm binamu anakuwa babamkweeUjue we umekuwa baba yangu halaf kukutukana nashindwa
".....kumbe zile picha zimetoka, alipiga kwa kutumia simu yake mpya, tulipendeza eeh" waziri wa afya alisema baada ya kuulizwa na mwandishi wetu






mlipendeza sana baba binamu naniii kanuna
Ndio hivyo Baba D jitahidi utazoea tuMm husna amenambia mapema ...nakuwa mgeni wa naniiii mm binamu anakuwa babamkwee





Mie sio mkristo
Ujue we umekuwa baba yangu halaf kukutukana nashindwa
Mfyuuuuu tukutukane wewe ili iweje tukiwa kitandani hivi binamu upoje wewe......safi sana, kunitukana hadharani utapata laana.
Ila mkiwa mnafanya yenu ya kimwili na anko wangu mkiwa mnahikizana mshindo kwa kiinglish ruksa kunitukana
Kwa hiyo kakufata wapiii
Hivi unajua unaniumiza mwenyeweee yaan ungejua....unaukumbuka ule mtaa kando ya bahari, yeah, alinikuta nabarizi ndo akaja, nimempa namba yako ile isiyojukikana akasisitiza atakudeep, nikamuuliza kudeep ndo kubeep, akakataa akasema kuna difference,,nikaendelea kunywa