Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Pesa ya kuzungumza habari yakotunamshukuru mungu hatujambo kabisa
Pesa ya kuzungumza habari yakotunamshukuru mungu hatujambo kabisa
Vice versa shemela we mtu mzimaAnasema hayuko single, au hujaelewa shemela
Nitumie wosap mke mweee hata moja tuu jamani
MmmhShunie alitaka kukutambulisha kwa tetramelyz
Sio baba mchungaji hataaa![]()
![]()
![]()
ni baba mchungaji
Usimwamini kabisa shunieMmmh kama vile siamini amin
mfyuuuu umesahau nilikuambiaje eehNa yeye yupo single mmekutana Mungu mkubwa
mbio za wapi tena shem
Dadake hivi neno mwaya linatumika kwa jinsia gan?Ndio mana nisamehe mwaya
Ujue we umekuwa baba yangu halaf kukutukana nashindwa....bado wanasayansi na wahandisi wako kwenye utafiti kama shikamoo husababisha ukosefu wa nguvu za kutongoz(w)a.
Weeee mauwa nimemwekea mama anayapenda sana mauwa ya mama atakuja kusoma ujue we bado mgeni humu

Nimekuelewa shemelaVice versa shemela we mtu mzima
Tupo nyumbani na baba dAsante weekend unatembelea viwanja vipi
Asanteee shemelaAnasema hayuko single, au hujaelewa shemela
Usichoamini nini watoto wao fake hao wanaiba kwenye acc za watu insta huko kila siku wanatuletea wapyaMmmh kama vile siamini amin
Usifungue hata kwa dawa
Nipo shemmbio za wapi tena shem
KeDadake hivi neno mwaya linatumika kwa jinsia gan?