Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Hapana dada mi niliuliza kwa kuwa kuna siku MTU aliniita hivyo nilimchenjia ndo maana Leo nimeulizaAu kaka labda unajua me mwanaume etiii ujue swali lako sijalielewa kabisa
Hapana dada mi niliuliza kwa kuwa kuna siku MTU aliniita hivyo nilimchenjia ndo maana Leo nimeulizaAu kaka labda unajua me mwanaume etiii ujue swali lako sijalielewa kabisa
Umeuona sasa
Ndio, na itakuwa mara ya mwisho.
Hivi mjue siwaelewi ebu niambieni mna niniiiKwa nini tena
Sio kuitwa hivyo ni kama kuitikia kitu hivi yaan kama kukubaliana na kitu kwa mwanamke lakiniHapana dada mi niliuliza kwa kuwa kuna siku MTU aliniita hivyo nilimchenjia ndo maana Leo nimeuliza
Hio hata bibi yangu ananitumia, sio ile
Hivi mnazungumzia niniiiiii jamanMbona niko fiti sana, sema huu mchezo nimeona utaniletea shida so nauacha, kuanzia sasa
Sawa asante kwa ufafanuziSio kuitwa hivyo ni kama kuitikia kitu hivi yaan kama kukubaliana na kitu kwa mwanamke lakini
Mtambulishe kwanzaHivi mjue siwaelewi ebu niambieni mna niniii
Gospel Music: Jumapili ya Smile
.....sina hakika , naamini humu JF kuna member anatumia jina smile, well , yeye si dhumuni ya title yangu hapo juu.
Uzuri wa gospel si gossip, ni muziki unaosikizwa na yeyote, popote ukiwa unafanya chochote.
Na gospel ya leo inakujia kwa hisani ya BlessedHope ambaye tumefurahia sana kumuona karejea. BH we missed you here and it's so good to see you back.
Ni kweli aachane nazo tu kupenda zitamletea matatizo yeye na mimi pia kwa upande wanguMtambulishe kwanza
Pia anasema inabidi apunguze kupenda emoji, zitamletea matatizo
TEH TEH TEH, Obe bhn, kwann moyo wako haukutendei haki??
Ubunifu ni mwingi, hapo mtu hawezi kukuelewa ukimwambia zakayo alikuwa mbunifu, kwa lipi hasa??!!. Mpe cheo anachostahili, usimtetee kwakuwa ni wajina wakoMbunifu
Kwakweli sitajibu maana huo ni MTEGO!!Ngoja aje ajibu
Cc tetramelyz
Hahaha, imetoshaKwa nini tena
Njema za kwako mkuusalamu makapuku
Emoji yene macho ya KOPPA NYEKUNDU🙂🙂Hivi mnazungumzia niniiiiii jaman
Salama kabisa, mkushi wa kusisalamu makapuku
hAHAHA, tuongee lugha moja tutaelewanaHivi mjue siwaelewi ebu niambieni mna niniii
Hata hvo hatuwezi kutumia hyo ni privacy yetuTuma kwa baba d hivi unapenda pm kuwa wazi eenh shemela