Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ila yako shemela ipo sawa eenhNdio maana nilikuambia jumapili yako imeingia doa
Ila yako shemela ipo sawa eenhNdio maana nilikuambia jumapili yako imeingia doa
Mama kaamuaalipo mama nipo nyuma yake
![]()
Ndio hivyoAaaaaaaah
Hivi si uliniuliza jinsia ipiii inatumia mwaya tena sasa hiviii niniii tena jamaanUnamanisha hela ya kuongea ni hiyo jinsia
Dingi unazingua ndo naendelea kukua saizi naitwa mhengaWewe litotoo
Me nishazizoea hizo naita zilipendwa mie.....nakuangalia tu anko, lile koloni lako la hapa Lindi mjini toto la kimakua unalikumbuka?
Sema akii ya obe ...
Sasa husna mbona mnampa wakati mgumu
Wasiamini kwa nini tena....uwege unasema na uongo basi, ujue watu hawataamini uyasemayo
Kwa hiyo kakufata wapiii....unanitafuta nini lakini wewe aunty yangu!
Wiki mbili sasa nimetoa taarifa niko Lindi? Narudia tena niko Lindi
Sawa usinifanye nisije kukutembelea dadanguKaka veep jamaan mbona hizo mambo huku kwetu hakuna kila mtu na kwake
.....we anko waache tu wanaompa wakati mgumu mpenzi wangu, sipeleki mtu kwa mjumbe wala baraza, nasoma albadri tu

.....we anko waache tu wanaompa wakati mgumu mpenzi wangu, sipeleki mtu kwa mjumbe wala baraza, nasoma albadri tu







Dada nimeona haka kamsemo kanatumika sana na nimeuliza nilivyo ona umeandika hako kanenoHivi si uliniuliza jinsia ipiii inatumia mwaya tena sasa hiviii niniii tena jamaan
Mxiuuuu na wewe embu acha kuweka maua maua hapa kama rachel dangwa
Kaka veep jamaan mbona hizo mambo huku kwetu hakuna kila mtu na kwake

Wewe kama unakuja karibu sana huku kutembelea majirani jamaan kila mtu yupo kwake kaka majirani tunakutana kwenye mikusanyiko msiba hiviii shereheSawa usinifanye nisije kukutembelea dadangu
Huwa unaweka vifungu vya biblia humu hujaona sehemu inayo sema mapende jirani yako
Yangu iko vizuri sana shemelaIla yako shemela ipo sawa eenh
Sasa me si mwanamke jaman na nimekujibu wanatumia ke ulivyoendelea tena nimeshindwa kuelewa umemaanishajeDada nimeona haka kamsemo kanatumika sana na nimeuliza nilivyo ona umeandika hako kaneno
Naisamehe kama nimekukwaza
Sawa na mimi siji dada maana naona mjini mnabaguana msije mkanibagua na mimiWewe kama unakuja karibu sana huku kutembelea majirani jamaan kila mtu yupo kwake kaka majirani tunakutana kwenye mikusanyiko msiba hiviii sherehe