Makapuku Forum

Makapuku Forum

Gospel Music: Jumapili ya Smile

.....sina hakika , naamini humu JF kuna member anatumia jina smile, well , yeye si dhumuni ya title yangu hapo juu.

Uzuri wa gospel si gossip, ni muziki unaosikizwa na yeyote, popote ukiwa unafanya chochote.
Na gospel ya leo inakujia kwa hisani ya BlessedHope ambaye tumefurahia sana kumuona karejea. BH we missed you here and it's so good to see you back.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom