Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Asante mkuu habar ya kupoteaSalama wa salmin.. n kwako pia.
Asante mkuu habar ya kupoteaSalama wa salmin.. n kwako pia.
Kwani nae ana kinjekitile ngwale!!?
Aahh.. husna ntake radhi, yaani kukumisi kote ndio haya nayapata..![]()
![]()
Sawa bhana umeuliza swali ni wajibu wako kujibiwa.. sijapoteza![]()
![]()
![]()
Vip nkupe ww uyapoteze![]()
![]()
![]()
nilikumithi pia
njoo tu nitayapoteza kwa kuyanyoosha pasi yatakuwa fresh we mwenyewe utafurahi KweliNa siku za kuishi duniani zinapungua..
Ndio aukufwi saasaSiufungulii mlango ng'o..
Raha za ujana nimuachie nani., eti namie nianze kusema enzi zangu pale kimeenda kimerud sitak mambo hayo.. bora nikufe kuliko kuona nyama wakat meno hamna kinywani..![]()
![]()
Karibu sanaHABARI ZENU MAKAPUKU
Mimi ni kapuku mpya humu ndani.
Naomba kukaribishwa
...kwa wapenzi wa Jazz, na hasa wanaofuatilia wapiga gitaa zito (bass) basi huyu jamaa (AKA) alikuwa anajua sana kuliburuza gitaa hili. FYI, keshachaguliwa mara tatu katika tuzo za Grammy. Bahati mbaya alikuwa na tatizo la 'vurugu'kwenye akili yake na akajiingiza mkenge kwa jamaa mwenye 'black belt' ya karate, alipigwa na ikapelekea kifo chake..
Asante Husna kwa kunikumbusha gitaa. si unajua segment yangu ilihusu gitaa kabla sijabadilisha gia angani 😀
![]()
kuumbeeeTutaenda kuspend disemba...iko Amerika ya Kati na ndo nchi yenye idadi ndogo ya watu ukilinganisha na majirani zake kama Mexico. Ina fukwe nzuri sana na ni sehemu nzuri ya kwenda likizo
![]()
![]()

Asante MakaShukrani.. tumezipata salam zako
Halaf kuna mtu anaitwa kaveli humu jf nikimuona huwa nakukumbukaUkiwaona wape habari.. waambie hvi, "Tycoon MAKAVELI Jr. Kawamisi kuliko uhalisia"
Aahh.. husna ntake radhi, yaani kukumisi kote ndio haya nayapata..![]()
![]()
Sawa bhana umeuliza swali ni wajibu wako kujibiwa.. sijapoteza![]()
![]()
![]()
Vip nkupe ww uyapoteze![]()
![]()
![]()








Raha ndio hiyo kila mtu awajibike ujue sio unajituma peke yako tuuu
Sio mazuri maka mazuri ya kulana kiukweli ujue wanazibiana riziki tuHahaa.. ndio mazur lakin au we waonaje..!?
Hata me naonaLabda anazungumzia bikra ya macho..![]()
![]()
![]()
![]()
Binamu baba yangu hili swali naomba akuje anijibie baba d wangu jaman halaf ujue we upande baba yangu au unajitoa ufahamu nikakusemee kwa mama mchuchu.....usiendekee kufukua kwa kweli, maana niliona anko na Maka wanasimulia mambo ya gulio la Katerero kule Kanda ya ziwa magharibi. Aunty, na wewe huwa unashiriki Majimaji wars?