makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,438
- 108,464
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Nko poa kabisa,
kwa nn umenitoroka lakini
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Nko poa kabisa,
kwa nn umenitoroka lakini
Braza diktekta vipi hali..shukrani mkuu
Teh teh teh... Nilifichwa sehem isiyojulikana na watu wasiojulikana[emoji23]Wiki mbili ikawa mwezi.
Morn too
Mithi you tooo numefurahi kukusoma tena[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hhmm.. bora kufa mapema uzee tabu, kuanikwa juani kama mahindi ya kukobolewa nin..Hafi haraka huyuu[emoji1]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji17] [emoji17] [emoji17] la haula wala kuwata...Walishaachanagaa
Angalia wana tabia ya kupimaga mkojo haoTeh teh teh... Nilifichwa sehem isiyojulikana na watu wasiojulikana[emoji23]
Ila wee huaminik ww hizi labda nizipate sky news ila wee wa global publishers hamna maana.. warongoo[emoji23] [emoji23]Walishaachanagaa
Weye tena..[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nawapa ukweli banaaa
Nakukubali sana mwanangu mwenyewe.. wa mkamba..Wozaaaaaaaa......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nin sasa..[emoji15] [emoji87]
We umegoma kumuamin yesu ndio utaniamni mimi kapuku[emoji12] [emoji12]Duu...huu uongo Wa kiwango cha juu kabisaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] kwa vibomu tu miaka lhajambo
Salama.. vip nduguHabari zenuu Wandugu..
Dah.. mwaka unakata roho kama masihara vile.LEO KATKA HISTORIA
Tarehe 21 Septemba ni siku ya 264 ya mwaka (ya 265 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 101.
Kwa kina mikhitaryan1991- Nchi ya Armenia inapata Uhuru wake kutoka kwa umoja Wa kisovyeti
Bora weye adabu yako iko mikonon.. kuliko husna aliyeisweka kwenye visigino..hahahhahahhaha sjasema mimi
Akuu...na kweli atakufa na mkongojo wake
1987- jaco pastorius mwanamuziki kutoka marekani anafariki
Mwisho
Uongo sunna..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na uongo ndo unafanya mapenzi yadumu