Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Km kawaida yanguNdo upo kufukua makaburi eeeeh
Km kawaida yanguNdo upo kufukua makaburi eeeeh
VitamuuuAchana navyo
Ngoja niishie hapa kufukua makaburi naweza kukufwa nawasalimia tu mimi jaman
Lee anamjua vizurUnamjua Gentriees muzee
Ya nin!?Huna namnaa??
Labda anazungumzia bikra ya macho..Ndio ushangae maka hivi ni bikra ipiii anazungumzia kwanza

Hahaa.. ndio mazur lakin au we waonaje..!?Ndio hivyo maka ujue watu wanaitana mababy hata pm hawajahi chart tunayaita mapenzi ya jukwaani watu kulana hawalani kabisa![]()
Bonden ya down stairs..Bondeni ya south au ya magomeni maka
Isikilize dear mama ya pacHakuna jaman kama Mama
Shukrani.. tumezipata salam zakoNgoja niishie hapa kufukua makaburi naweza kukufwa nawasalimia tu mimi jaman
Ukiwaona wape habari.. waambie hvi, "Tycoon MAKAVELI Jr. Kawamisi kuliko uhalisia"Wametekwa na waume zao
Aahh.. husna ntake radhi, yaani kukumisi kote ndio haya nayapata..![]()
hujapoteza marinda kweli?!

Na siku za kuishi duniani zinapungua..Uzee unakunyemeleaa
Siufungulii mlango ng'o..Uzee unapiga hodi

Kwani nae ana kinjekitile ngwale!!?.....usiendekee kufukua kwa kweli, maana niliona anko na Maka wanasimulia mambo ya gulio la Katerero kule Kanda ya ziwa magharibi. Aunty, na wewe huwa unashiriki Majimaji wars?
Salama wa salmin.. n kwako pia.Wahenga tunasema ukiona watu wanapambana na hali zao basi we endelea kupambana na hali yako
Wakuu mko salama?
Nawasalimia tu
Jumamos njema