makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,973
- 104,423
Hahaa.. hawaniwez, mbishi zaiid ya kalapinaAngalia wana tabia ya kupimaga mkojo hao
Hahaa.. hawaniwez, mbishi zaiid ya kalapinaAngalia wana tabia ya kupimaga mkojo hao
...kwa wapenzi wa Jazz, na hasa wanaofuatilia wapiga gitaa zito (bass) basi huyu jamaa (AKA) alikuwa anajua sana kuliburuza gitaa hili. FYI, keshachaguliwa mara tatu katika tuzo za Grammy. Bahati mbaya alikuwa na tatizo la 'vurugu'kwenye akili yake na akajiingiza mkenge kwa jamaa mwenye 'black belt' ya karate, alipigwa na ikapelekea kifo chake..
Asante Husna kwa kunikumbusha gitaa. si unajua segment yangu ilihusu gitaa kabla sijabadilisha gia angani 😀
![]()
1943- Kay Ryan mshairi kutoka marekani anazaliwa
1909- Kwame Nkrumah Rais Wa kwanza Wa Ghana anazaliwa
1983- Anna favella muigizaji Wa filamu kutoka Italia anazaliwa
Tuko poa.. vip ww bibieJamani mko poa hapa?
1991- Nchi ya Armenia inapata Uhuru wake kutoka kwa umoja Wa kisovyeti
1981- Nchi ya Belize inapata Uhuru wake kutoka kwa waingereza
SawaZipo za kutosha shemej.. tafuta pa kuhifadhia kabla ya kuja kuzichota.
Safari ya wap
Teh teh teh... Nilifichwa sehem isiyojulikana na watu wasiojulikana![]()
bora umerudi salamaDua la kuku hlo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
la haula wala kuwata...
Shikamoo babuuAngalia wana tabia ya kupimaga mkojo hao
1979-Serikali ya jean Bedel Bokassa,kaisari Wa Africa ya kati inapinduliwa
1676- uchaguzi Wa papa innocent XI
Naanza kuandaa sare c tutaenda kg eeeeh
Nami sijambo kabisaaaTuko poa.. vip ww bibie