makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,949
- 104,330
Wewe!! Nisikufe mimi ni nani..Ndio aukufwi saasa
Kafa muhhamad(s.a.w)kipenz chake na mwenyez mungu
Kafa ibrahim(r.a) baba wa imani
Kafa mussa(ra) unajua alivyo mtata
Atakuja kufa mpaka issa bin maryam
Sembuse mim kapuku ndugu yangu

