Makapuku Forum

Makapuku Forum

......duh, nimeota ndoto mbaya imebidi nijiulize maswali hizi ndoto nawezaje kuota ilhali maji ya TBL yamefurika melatonin haina ubishi.
Kumbe makaveli10 kaniita 'mkuu', aisee mdau mimi sio mkuu kabisa.

Kwa kuwa nimekueleza naimani sitaota ndoto mbayambaya tena za kuitwa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu binamu baba
 
Back
Top Bottom