Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
AsanteeeeeKwa mmoja sina hofu.. duniani kuna watu bilion 7, wanaume kama bilion 3.. means wanawake wapo zaid ya bilion hawana wa kuwasimamia ukucha.. hapo bado sijatoa mashoga, mahanithi, wagonjwa wa presha, kisukari, ambao wanazid kupunguza idadi ya vidume, sasa ya nin kupagawa wakat wanawake kibao wapo.. acha tu kama si yeye atatokea wa kunipenda, raha ya mahaba upendwe bhana, sio upende wewe uishie kujipendekeza..![]()
![]()
![]()


