makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,438
- 108,464
Sasa wee mbona unancheka bhna..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa wee mbona unancheka bhna..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa mmoja sina hofu.. duniani kuna watu bilion 7, wanaume kama bilion 3.. means wanawake wapo zaid ya bilion hawana wa kuwasimamia ukucha.. hapo bado sijatoa mashoga, mahanithi, wagonjwa wa presha, kisukari, ambao wanazid kupunguza idadi ya vidume, sasa ya nin kupagawa wakat wanawake kibao wapo.. acha tu kama si yeye atatokea wa kunipenda, raha ya mahaba upendwe bhana, sio upende wewe uishie kujipendekeza..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Muache abaki hvohvo Mond ajtwalie kimwana
Goli dogo, goli kubwa..[emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wivu, mie bado kigori
Akikua ataacha.Mond hakawii kuharibu akikutwa huko kwenye majukwaa mengine
Kigoli cha basketball au kigoli cha footballKigori my foot
Mizimu huko huko kwenu bhana.. hapa itapenda tuuWeeee weeeeee usirudieee tena kumuitaa binamu wangu mkuuu
Tena usirudieeee kabisaaa mizimu ya dada haipendiii
Mie nina uchochoro..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Masingle wote waweke pic zao tena wakiwa wanatabasamu kabisa nione kama kuna mwenye mwanya
Inatunzika vizur tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunza kama inatunzwaa
Watu kitambo wameband..... AIla bikra haunaa ??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu niite baba d
Duh.. watafia kwenye vinena hawa vijana, wanaona sifa wenyewe kushindana na walipotoka..[emoji12] [emoji12] [emoji12]Gentries huyo hawatawezana ujue mondray kila sehemu ana mwanamke
Tena
Kasema hatak mpenz kwa sasa.. mie ndio nmeshukuru sababu shemji tumosa ndio alikuwa ananiperemba nijiweke pale wakat mie bado namuogopa mama[emoji23] [emoji23]Asante Mungu hiyo vipiiii maka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmh nijikute tu
mi nipo gud mkuuSafi tu mkuu.. vip wewe..
Akisema anayo.. niamshe[emoji23] [emoji23]Unayo etiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] .. una uhakika shunie.Na mapenzi yao ya bongo movie kapuku hata kujuana hawajuani [emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..Unajikuta tu si unachagua we kaanzishe tutakuja huko au kama vipii muumbe wenyewe [emoji6][emoji6][emoji6]
Ndio hapo nimemswalika kaswali..Hakuna ubaya mbona natumiaga maka
Mashuzi...Ninayo jomoniiiii
Nakwambia hiv, labda ana kibra lakin si bikraMfyuuuuuuuuu