Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524]Zaburi 121

1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?

2 Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.

3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye;

4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.

SIKU NJEMA WAPENDWA MUNGU AWABARIKI[emoji120]
d1842d6541d7b587877b257ce479c2af.jpg


Asante sana Mama Mchungaji !!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Wale walioshindikana ndio napenda mimi.. sio hawa mara mama yupo sijui.. mara oohh hiv siwez, sijui huu uchafu, wanakauli yao oohh.. i feel awkward.. na bla bla kibao.. sitak mambo hayo.
Alafu kama hao kutana wa kanda ya majiii ileee etii maji [emoji23] [emoji23] kanda ya ziwaa

Show inakuwa shooo
 
Back
Top Bottom