makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,976
- 104,430
Muhogoo, kiazi.Uongooo
Muhogoo, kiazi.Uongooo
Sasa kwani mie nimemshika mkuu..Niachiee cheupee wangu
Nafurah km upo poa kakami nipo gud mkuu
ZABURI 91


Kwavile niko single na vigezo lukuki nilidhan ungenipigia debe Shem?anyway km ipo ipo tu cndio eeeh?Humu wamejaa sana wenye vigezo vyote hakuna Ben 10 humu
Asante sana Mama MchungajiZABURI 91
5.Hutaogopa hofu ya usiku,wala mshale urukao mchana.
6.Wala tauni ipitayo gizani wala uele uharibuo adhuhuri.
MUNGU AWABARIKI USIKU MWEMA...![]()
![]()
![]()
![]()




Na kwako pia mpendwaZABURI 91
5.Hutaogopa hofu ya usiku,wala mshale urukao mchana.
6.Wala tauni ipitayo gizani wala uele uharibuo adhuhuri.
MUNGU AWABARIKI USIKU MWEMA...![]()
![]()
![]()
![]()
AmenKwavile niko single na vigezo lukuki nilidhan ungenipigia debe Shem?anyway km ipo ipo tu cndio eeeh?
ZABURI 91
5.Hutaogopa hofu ya usiku,wala mshale urukao mchana.
6.Wala tauni ipitayo gizani wala uele uharibuo adhuhuri.
MUNGU AWABARIKI USIKU MWEMA...![]()
![]()
![]()
![]()
Binamu unamjuaa unamskiaa
Moja ulichommekeaa kumbe ata vip yake kachomekea
Weeee binamu wangu acha kumfanyia hivooMizimu huko huko kwenu bhana.. hapa itapenda tuu
Kasema hatak mpenz kwa sasa.. mie ndio nmeshukuru sababu shemji tumosa ndio alikuwa ananiperemba nijiweke pale wakat mie bado namuogopa mama![]()
![]()

Zaburi 121 
Mama alikukataza lakiniAkisema anayo.. niamshe![]()
![]()
Nilijuaa utaotaa binamu na mm nilimkanya kabisa ila hakukanyikaa ...ila pole sana japo sijui uoikuwa na kitu cha boxer au uliota hivo hivo ..........duh, nimeota ndoto mbaya imebidi nijiulize maswali hizi ndoto nawezaje kuota ilhali maji ya TBL yamefurika melatonin haina ubishi.
Kumbe makaveli10 kaniita 'mkuu', aisee mdau mimi sio mkuu kabisa.
Kwa kuwa nimekueleza naimani sitaota ndoto mbayambaya tena za kuitwa mkuu
Ameeeeniii mama ...asante kwa chakula ya asubhi ubarikiwe mamaZaburi 121
1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
2 Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye;
4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
SIKU NJEMA WAPENDWA MUNGU AWABARIKI![]()
AmenZABURI 91
5.Hutaogopa hofu ya usiku,wala mshale urukao mchana.
6.Wala tauni ipitayo gizani wala uele uharibuo adhuhuri.
MUNGU AWABARIKI USIKU MWEMA...![]()
![]()
![]()
![]()