Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] Mpendeni Bwana ninyi nyote mlio watauwa wake Bwana huwaifadhi waaminifu humlipa atendaye kiburi malipo tele

Iweni hodari mpige moyo konde ninyi nyote mnaonmngoja Bwana [emoji120] [emoji7]

MBARIKIWE SANA JAMANI NAWAPENDA TU MIMI ILA NAMPENDA BABA D WANGU MIMI ZAIDI MUNGU AZIDI KUNIWEKEA NA KUNILINDIA [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]
Mmmh napita tu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Ha hahahaha, mkongo yupo, kibali cha uimbaji kilipoisha akaomba cha uchezaji, kasajiriwa na Yanga sasa hii timu ina changamoto ya kipesa, bundle linasumbua. labda kwa vile Manji karudi tutamuona tena, au itabidi abadili awe importer wa lile vumbi la Kongo
Hahaha, sasa hivi nasikia kuna vifurushi, mihogo na karanga, sasa akileta vumbi la kongo tapata soko kweli....usawa hhuu
 
Back
Top Bottom